Latest Post

Ni Video inayopendwa sana toka kwa vijana wa The Voice Tz

Written By Admin on Friday, November 13, 2015 | 1:42 AM

Tutashangilia sasa video yake inapatikana kwenye Youtube page yetu.. Angalia Hapa uburudike kwa kazi nzuri. Kwa muda mrefu sasa video hii imekuwa ikifanya vizuri ndani na nje ya nchi..... Ni vedeo inayopendwa na watoto, vijana na wazee!




Video: Tumefanya matangazo makubwa sana hapa Tanzania! Tucheki hapa

Written By Admin on Thursday, November 12, 2015 | 11:39 PM

Angalia Video za matangazo mbalimbali tuliyoyafanya..... Pia tunasherehesha kwa namna ya pekee katika harusi na sherehe nyingine. Karibu tufanye kazi pamoja

Video: Twapanda Mapema The Voice Tz

Huu ni miongoni mwa nimbo zetu unaopendwa sana na watu toka sehemu mbalimbali duniani. Ni wimbo ulioimbwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Hebu uangalie hapa.



Video: Young Tanzanian artists who use their voices to empower women

Young Tanzanian artists who use their voices to empower women: Enjoy the Video Below.

Video Ya The voice TZ- Ngano safi

Hii ni miongoni mwa Video bora na zinazopendwa na wato wengi. Angalia hapa chini video ya The voice TZ- Ngano safi

Video: Voice Tz with Dira ya Dunia Iumaa 23 10 2015

Video ya vijana wa The Voice Tz ndani ya Dira ya Dunia - BBC Swahili

The Voice Tz @ Rwanda.

Hizi ni baadhi ya picha za The Voice Tz wakiwa nchini Rwanda.



 
Copyright © 2015. The Voice Tz - All Rights Reserved
Designed by Kijiwe Cha Wasomi